Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,079
Nyumba yenye vyumba 3, kimoja Masterbedroom, public toilet ndani, kitchen, library, dinning, sitting room. Pia kuna umeme na maji, Barbara mpk nyumbani. 15 minutes to Mwanza town. Nyumba iko nyuma ya Cocacola eneo la Busenga/Buswelu. Contact 0745072838.