munga mtengeti
Member
- Aug 4, 2014
- 34
- 10
Nauza gari aina ya Fuso mignon Tipper ipo ktk hali nzuri ina tairi zote mpya na vibali vyote vipo hai.Bei ni Tshs mil 22 na mazungumzo yapo Gari ipo mbezi temboni.Kwa simu no 0715/0754 472 414 kwa picha what sup 0783 472 414 .Nashindwa ku upload picha