Ninasafirisha na kuuza (bei ya jumla) samaki aina ya sangara kutoka mwanza kwenda mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam
Bei ni Sh 5,500 kwa kilo
Kiwango cha chini...
Niko Arusha sombetini ngusero nauza mchele na karanga kwa bei ya jumla karibuni kwa huduma zangu ujipatie bidhaa bora yenye thamani ya pesa yako wajulishe ndugu jamaa na marafiki wakazi wa Arusha...
Ninahitaji banda la biashara (Vinywaji na Chakula) katika viwanja vya maonyesho vya Sabasaba; Je nifuate utaratibu upi niweze kupata? na kama kuna anayejua gharama zake nitashukuru pia.
Habari za asubuhi ndugu zangu. Natafuta shamba la kukodisha ili nifuge kuku. Liwe la hekari tatu, pia liwe Dar au nje ya Dar (Pwani) ila isiwe mbali na Dar es salaam. Mwenye nalo aniPM tafadhari...
CDS ni kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mizigo iliyojipatia umaarufu duniani kulingana na kufikisha huduma popote muhusika alipo yaani door to door services.Huku ikishirikiana na kampuni...
TRACTOR ZINAUZWA
tractor zinauzwa zipo katika hali nzuri karibuni
MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5 tsh
FORD 4000 bei ni milion 17.5 tsh.
zipo Mbweni, Daresalaam
mawasiliano zaidi 0714242879
Wale wataalam wa kushona suti za kileo na style zote utakazo taka njoo tukuvalishe upendeze iwe ni harusi au sherehe yoyote ile tutakushonea suti nziri zenye mvuto kwa garama nafuu tunaanzia laki...
Kiwanja kina hati miliki ,kina ukubwa wa miraba 1516 bei maelewano . Nipigie kwenye number tufanye biashara
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwa wale wanaosumbuliwa na meno mabovu,meno yaliyooza,meno yenye rangi ya njano,meno yenye rangi iliyosababishwa na maji,harufu mbaya mdomoni,fizi kutoa damu na kupata ganzi,meno kutoboka pamoja...
Nmesukumwa kuandika hii thread baada yakushudia binafsi jinsi kwa kweli dawa hii inafanya kazi.kwa wale wote wanaosumbuliwa.na kifua kama pumu na wanashindwa kuhema au unandugu anashindwa kuhema...
Toyota kluger
In a good condition
Price 18.5m
Negotiable
Call
0656436662
For more infor and more cars just call
0656436662
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
WAPENDWA NAUZA SIM MARIDADI SANA AINA SAMSUNG GALAXY BEAM3. HII SIM KAMA UNAVOIONA PICHA HAPO INA PROJECTOR NA UNAWEZA KUNGALIA MOVIE UKUTANI YENYE UPANA WA MITA 2 NA ZAIDI.
BEI NI TSHS...