Natafuta pikipiki ya matairi manne au matatu

Natafuta pikipiki ya matairi manne au matatu

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
4-Wheeler-Bikes-in-Pakistan-Prices-Specs-and-Photos-Honda-Suzuki-driver.pk_.jpg
Habari wana bodi,
Naomba kujua ni wapi kwa DSM nitapata piki piki zenye matairi manne au matatu kwa ajili ya mizunguko yangu mjini....

Nataka ikiwa mpya au Used sio mbaya.....

(Picha zinafuata)
 
Attachments

  • quadro_4d.jpg
    quadro_4d.jpg
    23.1 KB · Views: 246
Habari wana bodi,
Naomba kujua ni wapi kwa DSM nitapata piki piki zenye matairi manne au matatu kwa ajili ya mizunguko yangu mjini....

Nataka ikiwa mpya au Used sio mbaya.....

(Picha zinafuata)
Unamaanisha quad bike?
 
Naweka picha zinakataa,ngoja niende ofisini ndio nitaziweka labda ndio hizo alafu mm sijui zinaitwaje
 
Nenda k/koo nyerere road opposite na nakumat kuna duka zinapatikana unazotaka.
 
Sasa hiyo issue ya kukutafutia namba labda niku_PM unipe namba yako then mawasiliano yaanzie hapo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom