Secretary/Office Manager anahitajika

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau..Anahitajika Secretary/office Manager.Ofisi ipo dar es salaam Upanga n inajihusisha na mambo ya sheria.Kazi kubwa ni
1.Kusafisha Ofisi
2.Kupokea wageni
3.Kuiangalia ofisi hasa mapungufu kama karatasi etc
4.Utunzaji wa mafile na maranyingine uchapaji
Mshahara wa kuanzia ni 150,000.Karibuni na kwa mawasiliano zaidi tuma msg namba 0782100100 au 0659575757.Karibuni
 
Du 150 hivi upo seriuos kweli yaani wewe ungekuwa mbele nyangu ningekuchapa na vibao
 
Pole mkuu...ndio maana nimeandika starting salary 150...starting boss
 
Back
Top Bottom