Sony home theater kwa 500000 tu bila deki

Conroy

Senior Member
May 23, 2014
158
44
Nauza Sony home theater ya 1000watts kwa bei ya kutupa used kwa miezi Sita, kwa 500000 tu unamiliki mziki huu fungua picha uone.. sms 0689315582
IMG-20160403-WA0005.jpg
 
mbona biashara yako haijitoshelezi maelezo. hujasema kwa nini unauza?.. na je kwa nini unauza bila speaker?.. inapatikana wapi? .. mimi nina laki tatu njoo pm tufanye biashara
 
sasa wewe unauza hometheater au unauza spika zake? mana deki yake ndo hometheater yenyewe
 
Bila deki yake sababu deki ilidondoka iliharibika nikaiuza kwa bei ya kutupa ila kwa 500k bado ni bei nzuri tu maana ni cheap.. Naweza kukufikiria kama umepungua bei kidogo
 
Bila deki yake ina maana hapo unauza speaker tu, maana mashine/ amplifier ya kuendeshea hizo speaker ipo kwenye deki
 
Hizo ni spika siyo home theater. Ukikosa mteja njoo ntakupa 100k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom