Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

jamani huu ubunifu wa kupata wateja wengi au.. unapiosema jujachelewa na wewe njoo kuanzia saa 9 mlimani city upate j8 kwa nusu bei na unapochoma mafuta na kufika mambo yanakuwa ndivyo sivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Tawa Water Professionals ni Company bora inayo chimba visima vya maji kwa bei nzuri kwa matumizi Ya nyumbani, Umwagiliaji wa mazao shambani utachimbiwa popote ulipo 2. Bei kwa maeneo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
2 roomed apartment, a living area, dining room, a modern kitchen, 1 bathroom, water reserve facilities, located in a quiet area of Mazengo Street, Upanga. Price Tshs 1,100,000/= per month. To...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Avr automatic voltage regulator ni kifaa kinasaidia kuzuia umeme unapokuwa sio mzuri aidha mkubwa au mdogo na kuzuia kifaa chako kisipate madhara..unaweza kuchomeka mpaka vifaa 3 Used kutoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mgeni rasmi Jaji (mstaafu) Joseph Sinde Warioba akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Britam Group Dk. Benson Wairegi muda mfupi baada ya mheshimiwa huyo kuzindua rasmi Kampuni ya Britam...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuwahi kufika kwa wanaume wanaojichua ni la kisaikolojia zaidi! Mtu anapojichua lengo ni kujilizisha na si kuulizisha mkono hivyo muhusika huuzoesha ubongo wake kutosumbukia kuchelewa kufika...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Sold sold......
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hard Disk 500 Gb Ram 4Gb Processor (Dual) 2.16Ghz 0765 050591 Dar es salaam Bei 580,000
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Wakuu habari zenu, naomba kujua bei halisi ya generator kubwa 22kv nina uhitaji wa haraka wa kujua bei yake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari gani wakuu? Napenda kuwataarifu kuwa tumeandaa chapisho tunalotegemea kuliingiza mitamboni ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na ufugaji wa Kuku na samaki. Kutokana na machapisho yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, Salaam. Napenda kuwatangazia fursa ifuatayo: Kama wewe ni msichana, mdada, au mmama na una account Instagram yenye kukidhi vigezo vifuatavyo; basi wasiliana nasi ili uigeuze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, jipatie nakala yako ya vitabu vya Joram Kiango kama MTAMBO WA MAUTI TUTARUDI NA ROHO ZETU MIKATABA IS KISHETANI ROHO YA PAKA MIKONONI MWA NUNDA n.k Fika Hamidu Rubawa...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
kama una hitaji toa oda yako ,kuanzia wiki 1-2 kutokana na oda zilizopo oda ikikamilika unajulishwa then utalipia na kupata mzigo. tray ni tshs 16,500/=
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Pata vitabu vya historia ya Nchi yetu kama:- Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes Conflicts and harmony in Zanzibar, Tanzania na Propaganda za udini Kwa bei ya shilingi elfu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mi Nina swali, ni simu gani zinapendwa huko nyumbani? Nina mpango wa kuleta affordable phones but higher quality. Any ideas please.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ladyellymovingshop.
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Ladyellymovingshop.
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Kikiko maeneo ya airport -ilemela-mwanza. Ukubwa 20*15m bei cheee 1.4m 0753101293. Wahi ubahatike!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
mashamba yanapatikana rufiji-ikwiriri.kwa wenye ndoto ya kumiliki mashamba ekari kubwa hata ekari 50 na kuendelea wani pm.mashamba hayo yanafaa kwa kilimo udongo wake una rutuba, mnaweza ita...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
wanajamvi habari ya hasubuh? Natumai mu wazima wa afya, kutokana na ongezeko la uitaji nwa fedha kwa wajasiriamali wengi nchini, na pia kutokana uwepo wa mizengwe mingi, katika upatikanaji wa...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…