Naomba kujua bei halisi ya generator 22KV

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu habari zenu,
naomba kujua bei halisi ya generator kubwa 22kv
nina uhitaji wa haraka wa kujua bei yake
 
Mkuu kwa Generator hiyo kwa hawa jamaa wa MANTRAC bei zake ni kuanzia Mil 23.8 kwa Brand za CAT na Olympian unaweza kuwasiliana na Wauzaji wa hizi mashine kwa namba hii 0784552017 pia unaweza kuangalia Details zake kweli PDF hapo nimekuwekea.
 

Attachments

  • GEP22-4.pdf
    259.9 KB · Views: 46

Similar Discussions

Back
Top Bottom