Mh tecno wajanja na hii j8 nusu bei mlimani city

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
jamani huu ubunifu wa kupata wateja wengi au.. unapiosema jujachelewa na wewe njoo kuanzia saa 9 mlimani city upate j8 kwa nusu bei na unapochoma mafuta na kufika mambo yanakuwa ndivyo sivyo.. mara ooh ni wanachezesha bahati nasibu na mmoja tu ndio anapata bahati hiyo ya kununua hiyo simu kwa nusu bei.. kama huna bahati usiende
 
Back
Top Bottom