Mkuu...
Ni vema ukaweka na bei yako unayo nunulia hao kuku ili ikue rahisi kwa watu kukupatia kile unacho hitaji, kwasababu itarahisisha pia kwa wae wanao faham wanapo weza wakapata kwa bei ambayo itawaacha na walau kifuta jasho.
Niushauri tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.