tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari wana JF!
Natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba viwili kimoja master ijiegemee maji na umeme iwe na fance.maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,makongo juu au changanyike. Bei kuanzia 200000 mpaka 300000
Nawasilisha