Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Kuna dogo yupo arusha anasoma chuo anahitaji.mishe yoyote au kazi ya kufanya weekend ili apate pesa maana anasoma na anahitaj kupata pesa
Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani
Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani