Naomba kujuzwa bei ya pikipiki aina ya VROX

janjab

Senior Member
May 28, 2015
172
56
Jamani kwa wale waliopo dar kuna pikipiki znaitwa VROX nimezielewa sana nlikuwa naomba kwa aliye dar anambie zinapatikana kwa bei gani.

88c497979a2f46d71a87a9bbc21ffab1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom