GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Gari aina ya Opaq inauzwa ipo Mbagala namba A ina tatizo kwenye Gearbox na haikai kwenye P bei 3ml mazungumzo yapo body ipo vizur na ndani ina muonekano mzuri sit zipo vizuri kioo cha mbele kina alama na ream sport