Nauza Rav4 Year 1999 5door

mozilla

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
740
1,133
Nauza Rav4 ya mwaka 1999 milango mitano, ina airbag mbili.
gari imetembea 100000km tu
Gari haijawai kuguswa wala kupigwa rangi
Vibali vyote vinakufa mwakani

Contacts
0714 521128
0786 119448
 

Attachments

  • 2-IMG-20160407-WA0032.jpg
    2-IMG-20160407-WA0032.jpg
    80.3 KB · Views: 119
  • 3-IMG-20160407-WA0031.jpg
    3-IMG-20160407-WA0031.jpg
    82.8 KB · Views: 107
  • 4-IMG-20160408-WA0084.jpg
    4-IMG-20160408-WA0084.jpg
    91.8 KB · Views: 73
  • 5-IMG-20160408-WA0083.jpg
    5-IMG-20160408-WA0083.jpg
    91.2 KB · Views: 88
  • 6-IMG-20160408-WA0081.jpg
    6-IMG-20160408-WA0081.jpg
    75.4 KB · Views: 78
  • 7-IMG-20160408-WA0079.jpg
    7-IMG-20160408-WA0079.jpg
    76.6 KB · Views: 75
Mkuu mambo yako njema sana, naona sakafu ya vitofali hapo chini, wapi hapo, masaki, mikochini B au mbezi beach?
 
Ukitangaza biashara humu sharti uweke na bei. Hiyo iliyoweka ni sawa na biashara bubu.
 
Mimi binafsi biashara zisizo na bei huwa siziamini sana kwasababu moja ya sifa ya bidhaa ni kuwa na bei isiyo na kificho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom