dalaliwangu
Member
- Feb 24, 2016
- 36
- 1
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,700 linauzwa jijini Mbeya eneo la Iyunga.
Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
wakuu mimi naamini asilimia kubwa ya wana jf ni greater thinkers,so jitahidini muwe mnakamilisha matangazo yenu kabla ya kupost.Kama hiki hakijulikani kama kimepimwa bei yake ikoje baadae watu wakikuita ww dalali kwa kua huna details za bidhaa usika utalalamika?Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,700 linauzwa jijini Mbeya eneo la Iyunga.
Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
Mtu una andika tu. just to challenge?? Why?? If you have yours just advertise.Acheni majungu ya kitoto. Mwenye uhitaji apige simu apate maelezo zaidi. Mbona mnakuwa waswahilii swahili? Why did I put contacts numbers? Jiongezeni basi ee!!!
We unataka kuona eneo sema, sio kukurupuka!!!Mmmh! Pale kuna eneo gani la viwanda? Isije kuwa umesha mega eneo la shule ya ufundi Iyunga!