Habari za majukumu wadau
Natafuta dalali ambaye anaweza nisaidia kupata wanafunzi wa chuo, nina hostel maeneo ya Mbagala kipati. Hostel ipo kadiri ya kilometa 5 toka vyuo vya TIA na Chuo cha...
Wanajamvi salamu kwenu
Mimi ni mgeni maeneo Haya ya Kyela naomba msaada wa kupata nyumba nzuri ya kupanga ndani ya wilaya hii ya Kyela katika kata ya Matema Beach au maeneo Karibu na hayo msaada...
Nataka kununua scooter au pikipiki ndogo. Ni ya matembezi yangu binafsi sitaki ifanane na bodaboda. Bajeti yangu ni 1.8 millions.
Seriously seller please DM me.
Ni wakati wa kulinda nyumba yako, ofisi yako kwa popote pale ulipo. Natron co.Ltd itakufungia security system ya kisasa ambayo utaweza kutrack kwa kutumia mobile phone yako. Wasiliana nasi kwa...
Ni wakati wa kulinda nyumba yako, ofisi yako kwa popote pale ulipo. Natron co.Ltd itakufungia security system ya kisasa ambayo utaweza kutrack kwa kutumia mobile phone yako. Wasiliana nasi kwa...
Kwa ulinzi wa nyumba yako, office, kiwanda, shule au shamba ya mifugo tutakufungia camera za ulinzi (cctv camera) ambazo zitakuwa na uwezo wa kudisplay matukio yanayotokea katika eneo lako na...
Habarini za asubuh wadau, nimeibiwa laptop yangu ya HP juzi maeneo ya kigamboni na kuniachia chaja tu. kwa hyo nmeamua kuiuza maana sina kazi nayo. Bado mpya kabisa ina kama mwenzi mmoja tu...
Wana jf naleta kweni biashara ya kiwanja/shamba lipo kigamboni gezaulole na kinaukubwa wa heka kumi(10), pia kina hati.
Kiwanja/shamba kipo eneo zuri na kipo karibu na majengo mapya pale geza.
Pia...
Shirika la Ndege la Etihad ambalo ni shirika rasmi la ndege la nchi ya Falme za Kiarabu, lenye makao makuu Abudhabi, hivi karibuni lilipanua wigo wa huduma zake jijini Dar es Salaam, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.