Nyumba chanika 39 million

Nyumba chanika 39 million

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba ya kisasa ina vyumba vnne vya kulala pamoja na master bedroom, sitting, jiko, public toilet haijapgwa tiles,kisima cha maji
Contact; 0656 698232
c994b7f4f90afb4a540022eca2c3eef3.jpg
 
Naomba maelezo zaidi ya hii nyumbani. Gari inafika mlangoni? Ina hati? Na picha za ndani
 
Ongeza details kama - iee eneo la Kiwanja chake ni kubwa vipi, umbali toka kwenye barabara kubwa, jee hicho kisima ni borehole au kisima kifupi, nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom