Nauza Asali

Kuna asali mbichi na asali gani?
Tofauti ni nini kimatumizi na test?
 
Asali mbichi ni asali fresh kutoka shamba haijachanganywa na chochote.matumizi ya asali hope wayajua
Don't assume I know mkuu,that asali is your product so you need to convince by selling features and benefits of your product to the prospect,ufanyaji biashara ingekuwa rahisi cocacola wasingeangaika.
BTW mimi najua matumizi ya asali kama chakula ila utofauti wa asali mbichi,asali ya nyuki wadogo na asali nyingine kama zipo sifahamu na hata nikiletewa nitofautishe nitashindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom