Mbao zinauzwa

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Mzigo upo Iringa tayari kwa mauzo popote. Ni zaidi ya pc 1600 za size tofauti. Tunaweza kukuletea ulipo. Kila size ina bei yake ambayo ni nafuu sana. Unaweza kufanya booking pia ya size unazotaka na mzigo utaletewa. Wenye kuitaji tafadhali mni-PM tupeane details. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom