Kiwanja cha kujenga na Kuhamia bila kusubiria Umeme na Maji

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
486
Kiwanja kiko kitunda karibu na Mwanagati. Magole kwa Mpemba.

Sqmtr: 455

Bei: 14Ml

Makazi mapya. Mitaa iliyopangika. Kiwanja cha kona.

Karibu PM kwa Maelekezo ya Ziada.

ImageUploadedByJamiiForums1463325773.175399.jpg
 
Kiwanja cha 455 m² ni sawa na 23m * 20m, eneo ni kitunda tena kwa mwanagati afu unakiuza kwa 14mil?

Huwezi kuwa serious wewe.
 
Kiwanja cha 455 m² ni sawa na 23m * 20m, eneo ni kitunda tena kwa mwanagati afu unakiuza kwa 14mil?

Huwezi kuwa serious wewe.


Eneo lina upana wa 15.2M X 30M

Naomba nikujulishe kuwa, unaongelea kitu ambacho hujakiona.

Kwa Maendeleo yaliyopo, na waliokwisha paona, wameomba wapunguziwe hata laki tano, lakini nkawaambia kuwa bei yangu ni fixed. Ni eneo linalokuwa kwa Kasi sana. Sogea hapo mwanagati jirani uulizie bei kwa saize kama hiyo then uniletee mrejesho Mkuu.

Kaka nakushauri utembee uone mengi, usiwe na Mentality za ki-conservative Mkuu.
 
Back
Top Bottom