Nyumba chanika 39000000 ml

mslopagaz

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
367
36
Nyumba ya kisasa ina vyumba vnne pamoja na master bedroom yake,sitting room,Jiko,public toilet,kisima cha maji ndn haijapgwa tiles
98e6e18981ed7504f2383165e8d498c9.jpg

contact 0656 698232
 
Rekebisha, andika 39,000,000 au andika Milioni 39.

Ulivyoandika ni hela ndeeeeeeeefu
 
hivi wewe dalali! unajua kuweka price tag kweli? kule uliweka 5000000 yaani milioni tano baada ya 50,000,000/= na hiyo figure uliyoandika sasa sijui kama hata wewe umeielewa.
 
hivi wewe dalali! unajua kuweka price tag kweli? kule uliweka 5000000 yaani milioni tano baada ya 50,000,000/= na hiyo figure uliyoandika sasa sijui kama hata wewe umeielewa.
Nashukuru mkuu nakubal nmetenda kosa 39 mil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom