Kukopa /kununua kiwanja kupitia benki

jacobian

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
415
158
Wadau naombeni kwa Mwenye uzoefu na alie wahi kukopa au kununua Kiwanja kwenye taasisi za kifedha(Bayport, DCB bank, CRDB...) ivi , inakuwaje? Nataka kwenda moja wapo ambayo mdau utanipa positive attitude ! Plz ..mwenye uzoefu...
 
Back
Top Bottom