Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mambo vp mazee. Mimi ni mfugaji mdogo wa nguruwe. Sasa ninao nguruwe waliofikia umri wa kupandishwa au kuliwa. Ninawauza. Na wapo mbeya. Kwa anaehitaji Karibu anipm.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza huawei y300,,ina dual camera na flash light ya kupga pcha nzuri sana,haina scratch wala crack,internal memory4gb, android versn 4.1.1 ni original waweza ithbsha kwa TCRA, nashndwa weka pcha...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
*JIMZ JUNE'S SPECIAL* Mobile Phones 1. Samsung S7 Edge 32GB-1.65M 2. Samsung J7-560,000 3. Samsung J2-320,000 4. Samsung J1 Ace-229,000 5. Samsung J1 mini-210,000 6. Samsung Keystone-45,000...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imetumika kwa miezi 4 bei ni laki 6 inaonyesha baadhi ya local channels direct bila kingamuzi kwa mawasiliano ni pm Hdmi ports 2 Usb port 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hellow Jf , nina mchele jumla ya tani 15 ninauza kwa bei ya sh 1500 kwa kilo , nakaribisha wateja wa jumla, shule, chuo n.k , atakayenunua kuanzia tani 5 nakuletea mkoa wowote ulipo, contacts...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa bei ya chalk mould naomba anifahamishe. Lkn pia nitafurahi kama utanijia maduka na mitaa zinapo uzwa. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta watu watatu wa kuanzisha nao biashara ya kutengeneza wine kutokana na rosela na matikiti maji. If upo interested tuwasiliane, mm ni mtaalamu wa Chakula kutoka Sokoine University of...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Tunauza soft copy na hard copy ya kitabu cha RICH DAD POOR DAD cha Robert Kiyosak kwa bei nafuu..Hard copy tunauza 9.000/-Tshs na soft copy tunauza 3,000/-Tshs...TUPIGIE 0624-079887
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yule anayehitaji ofisi Kijitonyama. Ina hali nzuri na kiyoyozi inakodishwa kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi Nitafute kwa namba hii 0719040659.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tovuti ya Tanzapages inawakaribisha wadau na wajasiliamali kusajili biashara zao bure mtandaoni kwa kutumia tovuti hii www.tanzapages.co.tz. Wafanyabiashara wadogo na wakubwa, wanaweza kuitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesimuliwa tu kikanivutia sana!naomba softcopy yake kwa yoyote aliyenacho
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari,nawakaribisha tena mayai ya kuku wa kienyeji bado yapo mengi.Trei moja yenye mayai 30 tunauza elfu 15 tu na kukuletea popote ulipo.Kwa wale wa mikoani na Zanzibar tunatuma pia. Msambazaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Fresh Product tuna sambaza Bidhaa Asilia Mahotelini, Maofisini, wafugaji, Nk tutakuletea hapo ulipo Kwa DAR SS ALAAM kwa bei nafuu. Kuku wa kienyeji pure wakufuga umri miez 3/4 @Tsh 10000/=...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brandnew IPhone 5s for sale Full accessories(No Box) 16GB Internal Storage All Space grey in colour Price 530,000 Contact 0784780955
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Laptop aina ya hp probook 450 g2 series inauzwa. Imetumika kwa muda wa miez miwili tu. Specification zake ni km ifuatavyo; Ram 4gb, Harddisk 500gb, Webcam, Capable of fingerprint and many more...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Picha zilizopo hapa chini zinajieleza, mwenye interest anicheck 0713228915 au 0753228915
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Msaada: naomba kujuzwa Duka linalouza vifaa kama Capacitors, diode na Chips zinenginezo, hapa dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mayai ya kuku wa kienyeji Yapo kwa wingi sasa.Trei moja lenye mayai 30 nauza elfu 15 tu. MAWASILIANO : 0788-407407
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mpaka sasa kijana mtanzania mwenzetu anaongoza kwa kura huku akifatiwa kwa ukaribu sana na mpinzani wake kutoka Bangladesh kwa ukaribu,, jamani utaifa unahuitajika sana ili kumuwezesha kushinda...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nahitaji machine ya kupulizia mifugo dawa. Mifugo ni Ng'ombe na Mbuzi. Jina la machine nimesahau ila yenyewe in Ubao unakanyagia chini halafu mkono mmoja unakuwa na kazi ya kukusukuma mbele na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom