Ofa ya floor tiles kutoka Spain

Ngondonyoni

Senior Member
Feb 16, 2016
120
74
Ndugu, floor tiles ( vigae vya sakafu) kutoka Spain vinapatikana kwa bei nafuu ya tsh 37000 kwa mita ya raba moja. Ukubwa ni sm 45 X 45. Unene ni mm 8. Rangi mbalimbali. Mita ya raba moja ni pieces tano. Wahi ili jengo lako lipendeze. Kwa mazungumzo piga 0763821010. Kwa whatsup nipe namba unayotaka kutumia kwa PM.
20150529_131546.jpg 20150529_131509.jpg 20150529_131432.jpg 20150529_131432.jpg










 
Sorry to say ths, hii inaanza kuwa kama trading platform hebu biashara zetu zote zinazopata airtime hapa JF zichangie return kidogo hii JF, huu ujamaa wa CCM ifike pahala tuseme inatosha.
 
Usedcountrynewpipo Mpaka mita ya raba mía nne. Quarterpin, as ante kw maoni yako.
Usichukie mkuu, ni namna mojawapo ya kuiboresha hii jf yetu, infact nna mpango wa kuwashawish mods na jamaa yetu maxence melo aone namna ya kuweka link ya soko letu la hisa hapa jf ikiwezekana wawe wanamlipa commission, sababu katika media platforms Tanzania jf inakaribia kuwa semistrong form of efficient market wanaojua masuala ya fedha na uwekezaji wanaweza jua nachomaanisha.
 
Sorry to say ths, hii inaanza kuwa kama trading platform hebu biashara zetu zote zinazopata airtime hapa jf zichangie return kidogo hii jf, huu ujamaa wa ccm ifike pahala tuseme inatosha.
Kwani ni lazma usome kila tangazo wewe
 
Back
Top Bottom