Fukara JF-Expert Member Dec 28, 2013 1,625 928 May 21, 2016 #1 Gari Ipo katika hali nzuri sana,lnauzwa sababu ya Shida ya kifedha. Kwa mawasiliano piga 0712 355025
mswax Member Dec 18, 2015 39 30 May 23, 2016 #2 Imetembea kilometa ngapi na vipi kuhusu road licence na bima pamoja na plate number yake inasomekaje.
Imetembea kilometa ngapi na vipi kuhusu road licence na bima pamoja na plate number yake inasomekaje.
K KIJONGA JF-Expert Member Apr 4, 2014 457 374 May 23, 2016 #3 Nikipata majibu ya bima na Road licence takuja
babake nasreen JF-Expert Member Oct 30, 2014 702 490 May 24, 2016 #4 Inabwia mafuta hii tena ishachoka hivi namba ATT bora hata AZ au AY,japo safari imo ila daa
share JF-Expert Member Nov 22, 2008 6,065 10,466 May 24, 2016 #5 Duh, ATT ndiyo namba!!!! Hilo jini. Ukinunua lazima uwe rafiki wa marehemu Sadam ili ndugu zake waliobaki duniani wakuletee petrol.
Duh, ATT ndiyo namba!!!! Hilo jini. Ukinunua lazima uwe rafiki wa marehemu Sadam ili ndugu zake waliobaki duniani wakuletee petrol.
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 May 24, 2016 #6 Kama unakitambi lazma kinywee. Kama una dam kdgo lazma ue
I ivanor kababu Member Mar 20, 2016 37 7 May 26, 2016 #7 Engine ni cc ngapi mkuu halafu nipigie picha ya bampa la mbele
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 10,476 9,601 May 28, 2016 #9 share said: Duh, ATT ndiyo namba!!!! Hilo jini. Ukinunua lazima uwe rafiki wa marehemu Sadam ili ndugu zake waliobaki duniani wakuletee petrol. Click to expand... Hahaha,aisee
share said: Duh, ATT ndiyo namba!!!! Hilo jini. Ukinunua lazima uwe rafiki wa marehemu Sadam ili ndugu zake waliobaki duniani wakuletee petrol. Click to expand... Hahaha,aisee
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 May 28, 2016 #10 Piga picha buti yake na ndani ya boneti, uweke!!