ramani/michoro ya viwanja na nyumba inapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ramani/michoro ya viwanja na nyumba inapatikana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by comred, Sep 8, 2011.

1. comred

comred JF-Expert Member

#1
Sep 8, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280
michoro inapatikana kulingana namahtaji yako

2. NYENJENKURU

NYENJENKURU JF-Expert Member

#2
Sep 8, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 1,008
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
bei pls..

3. Architect E.M

Architect E.M JF-Expert Member

#3
Sep 8, 2011
Joined: Nov 15, 2010
Messages: 815
Likes Received: 118
Trophy Points: 60
mkuu comred, upatapo hao watu utakaowachorea ramani, usisite kunitumia mimi kuwajengea, si unajua tena kampuni ipo, fully registerd class 3 building contractors, very cheap and efficient,, soo ukishachora wewe, pliizzz, walete mimi nikawafanyie construction

4. comred

comred JF-Expert Member

#4
Sep 10, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280

bei inazingatia aina ya nyumba, ukubwa na material utakayo ww binafsi,.. karibu contact for mor info 0684683006

5. comred

comred JF-Expert Member

#5
Sep 10, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280

6. Somoche

Somoche JF-Expert Member

#6
Sep 10, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 3,827
Likes Received: 929
Trophy Points: 280
Mimi ntawaandikia mkataba bei sawa na byeeee

7. Mr. Mwalu

Mr. Mwalu JF-Expert Member

#7
Sep 11, 2011
Joined: Feb 4, 2010
Messages: 812
Likes Received: 175
Trophy Points: 60
sheria inataka kazi zako ndizo zikutangaze na sio kujipigia debe kama unauza nyanya!

8. comred

comred JF-Expert Member

#8
Sep 11, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280

sawa mkuu ntatekeleza
bt anza kuweka zako zikutangze nami nikujue..

9. Mwenzetu

Mwenzetu JF-Expert Member

#9
Sep 11, 2011
Joined: Dec 16, 2010
Messages: 500
Likes Received: 89
Trophy Points: 45
.......Mwalu,nakubaliana nawe,anachokifanya Comrade ni kinyume na taratibu za fani ya usanifu majengo(architecture),napata wasiwasi kwani yaweza kuwa hajasajiliwa,je amefuzu kweli katika fani hiyo.Watu wengi sana wanaingizwa mikenge na mafundi mchundo au technicians ambao wanajifanya ni qualified professionals katika fani na kuishia kupata nyumba au ramani ambazo ni sub standard................,kwa yeyoye mwenye kuhitaji huduma ya mtaalam husikamhakikisha kuwa amesajiliwa na anaruhusiwa kisheria kufanya shughuli hiyo vinginevyo ni kuwa mwenye kuchorewa na anayechora wote wapo hatiani,jamani tufuate kanuni na taratibu,..........tuishie kupata huduma bora zenye tija,

10. comred

comred JF-Expert Member

#10
Sep 11, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280

ndugu yng ww namin unauelewa angalau bt naomba niulze ua profession b4 cjakuelmsha

11. comred

comred JF-Expert Member

#11
Sep 11, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 1,394
Likes Received: 992
Trophy Points: 280

12. Abdallah mlacha

Abdallah mlacha New Member

#12
Aug 20, 2013
Joined: Dec 19, 2012
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
:smile-big:hakuna maisha yasiyo na mwisho yatupasa kujitabua sisi nikina nani:kev::A S-key::wave:

13. Mkwala

Mkwala JF-Expert Member

#13
May 28, 2016
Joined: Sep 30, 2014
Messages: 537
Likes Received: 352
Trophy Points: 80
Mbona hawaweki bei za ramani,wanaficha nini au kunakumbakiwa gharama

Loading...