Fremu inapangishwa laki moja

Bak byzo I.T

JF-Expert Member
Jun 29, 2014
264
122
Fremu ya biashara iliyopo maeneo ya msasani kimweri avenue
Opposite CCBRT Hospital

Inapangishwa Kiasi cha laki moja kwa mwezi.

Kwa Mawasiliano
0657131366
 
Duuh bei ipo pouwa sana hii hasa kwa eneo hilo. Tupia picha basi mkuu

ImageUploadedByJamiiForums1464329845.282050.jpg
 
Fremu ya biashara iliyopo maeneo ya msasani kimweri avenue
Opposite CCBRT Hospital

Inapangishwa Kiasi cha laki moja kwa mwezi.

Kwa Mawasiliano
0657131366
Pananifaa sana.Tatizo mnaanzaga .Ohoo biashara ya kufanya ipi nimbie nikutajie biashara yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom