Wapi napata Brand New Smart TV 40 LG au Samsung Bajeti yangu 800,000

Kongo/njia ya kuelekea mnazi mmoja au Posta karibu na mnara wa askari njia sambamba na kuelekea TTCL kuna duka moja la gabachori....
 
Karibu na mnara wa askari posta kuna duka linaitwa MS MEGHJI unaweza pata,pia wacheki fb wana page yao pamoja na namba za simu
Exactly mkuu ni hapo!! I bought mine 2011 pale Samsung LED kwa kipindi hiko nilinunua pale kwa pingufu ya laki 5 uki compare na mlimani city...
 
Back
Top Bottom