Mkuu angalia hizo milker za SIDO zisije zikang'oa chuchu na kiwele chote cha ng'ombe wako ukapata hasara ya kukutoa machozi. Natania.Toa oda SIDO
Aaaah aaah. Wewe si ulianzisha utani kuanzia kwenye avatar yako?!Aisee huu sii utani haata tone!!!!
Ngoja wenye uzoefu waje. Lakini pia si mbaya ukawasiliana na ofisi ya SIDO iliyo karibu na wewe wanaweza kuwa nazo tena nzuri tu. Na kama hawana wanaweza kukupa mwongozo wenye msaada mkubwa tu kwako wa sehemu ipi pa kupata mashine nzuri kwa ubora na bei nafuu. Namba za simu za makao makuu yao yaliyo Upanga Dar es Salaam ni 022 2 151 948.Hapa kweli namaanisha ila sijui pa kuanzia SIDO Ya tanzania ? Nshavishwa wasiwasi nataka ya China wapi wanauza wakuu?