Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba msaada wadau kwa yeyote mwenye mayai ya kuku wa kienyeji pure tuwasiliane au anayefahamu mahali yanapopatikana kwa wingi anifahamishe iwe ni Dar au mikoa ya jirani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo mdogo wa dharura wa sh Laki 5 tu kwa riba ya 25 %. Niko dar Nina biashara active, niko Tayari kusainishana popote utakapotaka na dhamana nazoweka Ninazo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukubwa: square meter 602 kilipo: Bweni JKT karibu na baharini Bei: maelewano mawasiliano: 0715570615/0754570615
0 Reactions
0 Replies
511 Views
nina vifaranga wa cku 4 chotara wa malawi nauza. kwa anayetaka kufuga nione sasa wakati ndio huu. pia napokea oda ya vifaranga aina mbalimbali kwa bei nafuu. kwa yeyote mwenye uhitaji 0658100001
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF naomba kwa mwenye database zenye contacts hasa hasa number za simu tuwasiliane kuongee kibiashara, naziitaji sana for marketing.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nifahamisha wapi naweza kununua chupa/kopo kuanzia mils 250. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Nauza simu tajwa hapo. Tecno camon c8 kwa bei ya 200,000/= tu imetumika mwezi mmoja bado mpya kabisa. Sifa zake- Storage-GB16 CAMERA-5MP MBELE,13MP NYUMA INA FLASHLIGHT MBELE NA NYUMA RAM-1GB...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunauza mayai ya kuku wa kienyeji?(sio chotara) kutoka Iringa vijijini, Tray moja ni Tsh. 15000 Mayai yanapatikana siku za JUMAPILI NA JUMATANO Dar es salaam Mawasiliano: 0652 962908
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nauza Ipad 3 used mwenye uhitaji ani pm
0 Reactions
5 Replies
917 Views
Kiwanja (Urefu 40m*25m)kipo sehemu ya makazi yaliyojengwa kisasa.Umeme na maji vipo.Umbali wa Km 1 kutoka Bagamoyo Road.Nyaraka zote za umiliki kutoka serikali ya mtaa zipo.Mimi si dalali ni...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Wanandugu, mlio katika ndoa ambazo hazina uhakika kwa sababu ya kulegea kwa sehemu zenu za siri, karibuni dukani kwangu mwenge kitalu no 789! nauza bikira za kichina yani ukiibandika moja kwenye...
1 Reactions
37 Replies
15K Views
DAILY SKIN CARE ROUTINE 1) Cleansing 2) Toning 3) Sun blocks 4) Eye cream 5) Moisturizer [emoji254]WEEKEND SKIN CARE ROUTINE 1) Cleansing 2) Exfoliate 3) Masks 4) Toner 5) Sun blocks 6) Eye...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Bei kwa zote 3.5 na maeongezi yapo Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Mimi kwa 0756060183 au 0715060183
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Naitwa Neema, nimefungua kampuni ya usafi. Kampuni yangu inajishuhulisha na usafi wa majumbani, maofisini, kwenye majengo mapya ama nyumba mpya kabla ya kuhamia tunasafisha pia, kufua, kupasi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba/kiwanja ukubwa ni sqm 750, eneo ni tanki bovu mita mia hamsini kutoka barabara ya bagamoyo opposite na Massana hospital, documents zote muhimu zinapatikana na eneo linafaa kwa matumizi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mnatangaziwa semina pala sayansi. Semina imeandaliwa na Google. Register online hapa. Digify Bytes Dar es Salaam: Buni Innovation Hub Training on 07th June, 2016. From 10am-4pm Contact: Esther...
2 Reactions
1 Replies
667 Views
Laptop Acer Aspire Inauzwa Kwa 350,000 Pesa Ya Tanzania............. Specs Zake Ni : Ram 2 Gb, Hard Disc 320, Proc : Intel Celeron T3300 Dual Core. Kwa Wanunuzi Mawasiliano : 0627952599 . N.B ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko salama natafuta mtu anayeuza madawa ya kilimo hasa nyanya, kitunguu, na Hoho kwa jumla mwenye biashara hiyo naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nyumba ipo katika hali nzuri Three bedrooms Full water supply Full security Fenced with car parking 300,000 per month 0713715772
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…