dany gamase
Member
- Jul 25, 2014
- 46
- 4
nina vifaranga wa cku 4 chotara wa malawi nauza. kwa anayetaka kufuga nione sasa wakati ndio huu. pia napokea oda ya vifaranga aina mbalimbali kwa bei nafuu. kwa yeyote mwenye uhitaji 0658100001
h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ???halahala mteja asije kuwa kachero,
Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude
Niliona hii kitu jamaa kala hasara ya takribani 5.5m ivi.halahala mteja asije kuwa kachero,
Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude
Kuna watu wana nyaraka zote ila wamedakwa juzi na wamenyang'anywa vifaranga vyoteda
h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ???