Utaratibu katika utunzaji wa ngozi kwa bidhaa za oriflame

MamaaRehema

Member
Feb 13, 2014
78
18
DAILY SKIN CARE ROUTINE

1) Cleansing
2) Toning
3) Sun blocks
4) Eye cream
5) Moisturizer

WEEKEND SKIN CARE ROUTINE
1) Cleansing
2) Exfoliate
3) Masks
4) Toner
5) Sun blocks
6) Eye cream
7) Moisturizer

Matumizi ya:
CLEANSING AND FACE WASH
= husaidia kutoa uchafu, mafuta yalozidi usoni, cells za ngoz zilizokufa.
= inafanya kipodozi kupenya katika ngozi na kutoa matokeo
mazuri.

TONING
=inamalizia kutoa uchafu wote uliobakia wa make up, na kufanya vitundu vifunge, ngozi itulie na inabalance ph ya ngozi. Haioshwi ikishapakwa.

HYDRATING AND NOURISH
hydrating= kazi ya cream za day ni kufanya ngozi kuwa soft, kuikinga ngozi na mazingira mazima mfano jua, pollution...n.k
Huipa ngoz unyevu.
Hupakwa asubuhi kila siku.

Nourish= hupakwa usiku husaidia ku repair cells za ngozi zilizokufa, na kuamsha uwezo wa ngozi kupambana na tatizo husika.

Additional skin care
Hii ina usisha products zote za either mara 1au 2 kwa wiki. Mfano Mask na scrub.

Mask inasaidia kulainisha ngozi, kung'arisha,kuipa afya, inasaidia mzunguko wa damu kuwa sawa.
Scrub kuondoa skin dead cells na kuipa ngozi unyevu.

Hakikisha unapotumia products za oriflame unashauriwa kufuata utaratibu huo hapo ambao kwa kawaida unatakiwa kufuatwa na mtumiaji wa vipodozi vya aina yoyote.
na vyote hivyo anatumia mtu sawa na umri, hitaji lake na aina ya ngozi.
pia ktk sun blocks bidhaa nyingi za oriflame zina spf = sun blocks so some times hata kama ukikosa hiyo na una cream yenye spf unakuwa umesave.
Angalizo usitumie kitu kimoja ukategemea matokeo mazuri....oriflame tunauza seti/ mchanganyiko wa products kwa matokeo mazur but kwa lengo na ngozi husika. Haya ni maelezo kwa uchache.

Karibu kwa oda/ ushauri/ kuanza biashara na oriflame/ kupata punguzo la bei kwa matumizi binafsi.
Wasiliana nami kwa 0717 343635 call/ sms/ whatsapp
 
  • Thanks
Reactions: waj
Mimi.nimenunua lipstick imekuwa kama uji,ningekuwa nyumbani ningepiga picha
 
Mimi.nimenunua lipstick imekuwa kama uji,ningekuwa nyumbani ningepiga picha
Natumia bidhaa za oriflame yapata miaka 6 sasa. Sijajuta.
Hizo lipstick nishatumia sana, napaka mpaka zinaisha.
Nna wanja, eye liner, mascara, body cream, perfumes different kinds, face cream, naviaminia kwa kweli.
Tatizo bei tu, mmhhu.
 
Natumia bidhaa za oriflame yapata miaka 6 sasa. Sijajuta.
Hizo lipstick nishatumia sana, napaka mpaka zinaisha.
Nna wanja, eye liner, mascara, body cream, perfumes different kinds, face cream, naviaminia kwa kweli.
Tatizo bei tu, mmhhu.
Karibu dear unaweza ukajiunga kwa matumizi binafsi sio biashara ili upate punguzo la bei. Ukipenda kujiunga nichek kwa 0717 343635 whatsapp or kawaida.
 
Karibu dear unaweza ukajiunga kwa matumizi binafsi sio biashara ili upate punguzo la bei. Ukipenda kujiunga nichek kwa 0717 343635 whatsapp or kawaida.
Nilijiunga kwa ajili hio. Lkn huyo mtu nilokuwa namtuma kuninunulia hata hayupo sasa. Na kuna siku nilitaka kitu akanambia nimeshakuwa dormant sijui.
 
Back
Top Bottom