Urgent loan ya Laki tano

Urgent loan ya Laki tano

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo mdogo wa dharura wa sh Laki 5 tu kwa riba ya 25 %. Niko dar Nina biashara active, niko Tayari kusainishana popote utakapotaka na dhamana nazoweka Ninazo.
 
Hujajiunga kweny Vikundi Vidogo Vidogo? Vya Wafanya biashara
 
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo mdogo wa dharura wa sh Laki 5 tu kwa riba ya 25 %. Niko dar Nina biashara active, niko Tayari kusainishana popote utakapotaka na dhamana nazoweka Ninazo. Thanks 0713196055
Sorry nitajie collateral nikupe pesa
 
Kimbia ofc ya kata uandike jina mil 50 zipo njian
 
Back
Top Bottom