maila majani
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 110
- 11
Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha
Vinategemea na aina na ubora. Ila vinarange kuanzia elfu 14 mpaka 35. Ninda maduka ya Cello kariakoo kama upo DarNaombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha
sina ile website ya jamboplastic nadhani ingesaidia kujua bei halisi na bidhaa zao nzuri hasa viti haviangushi ovyoNaombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha