Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 241
Naomba msaada wadau kwa yeyote mwenye mayai ya kuku wa kienyeji pure tuwasiliane au anayefahamu mahali yanapopatikana kwa wingi anifahamishe iwe ni Dar au mikoa ya jirani.
MAYAI YA KUKU WA KIENYEJI
Je, ungependa kupata mayai ya kuku wa kienyeji?(sio chotara) Tray moja ni Tsh. 15000
Mayai yanapatikana siku za *JUMAPILI NA JUMATANO* Dar es salaam
Mawasiliano: 0652 962908