LWENYI JF-Expert Member Jul 4, 2013 1,784 2,098 Jun 3, 2016 #1 Wakuu natumaini mko salama natafuta mtu anayeuza madawa ya kilimo hasa nyanya, kitunguu, na Hoho kwa jumla mwenye biashara hiyo naomba tuwasiliane
Wakuu natumaini mko salama natafuta mtu anayeuza madawa ya kilimo hasa nyanya, kitunguu, na Hoho kwa jumla mwenye biashara hiyo naomba tuwasiliane