Karibuni Dust and Shine Company

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,655
Naitwa Neema, nimefungua kampuni ya usafi. Kampuni yangu inajishuhulisha na usafi wa majumbani, maofisini, kwenye majengo mapya ama nyumba mpya kabla ya kuhamia tunasafisha pia, kufua, kupasi na kupanga nguo, kupack vitu kwa anayehitaji kuhama na kumpangia ktk nyumba yake mpya.

Pia tuna fanya fumigation kuua wadudu wote warukao na watambaao. Tnapuliza dawa za kuua magugu, tunasafisha garden na kupunguza miti na kuondoa nyasi chafuzi.

KAMPUNI IMESAJILIWA NA OFISI ZIKO UBUNGO EXTERNAL.

Karibuni sana tena sana kwa huduma za uhakika na haraka kwani tuna mashine zote za usafishaji.
kwa kazi zangu nyingi nilizofanya tayari zipo instagram @dustandshine_company

See_this_Instagram_photo_by_@cleanexgroup_•_5_likes__.jpg


See_this_Instagram_photo_by_@bleachkw_•_147_likes__.jpg


See_this_Instagram_photo_by_@ecocleanny_•_29_likes__.jpg


See_this_Instagram_photo_by_@cleaning_tiles_sinks_•_3_likes.jpg
 

Attachments

  • See_this_Instagram_video_by_@ecocleanny_•_33_likes__.mp4
    2.5 MB · Views: 22
Back
Top Bottom