Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza vifaa vya bomba na vyoo jumla na rejareja
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Natafuta smartphone yeyote iwe og....mwenye nayo anicheki..then tuta exchange contacts.
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Ndugu habari za jioni, Ndugu naomba kujuzwa wapi naweza nikapata mashine ya kutobolea main pipe ya inchi moja nanusu kwajiri ya kuunganisha conectore za drip irrigation iwe ya kupres au kudril...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunauza helment, gumboots, rain coat, oversuit, Kofia, safety boots, overall, overcoat na vifaa vya Hardware na tunasambaza cement kwa jumla. Bei ni nzur kwa maelezo zaid piga namba 0688121308...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana Jf. Nawashukuru sana niliwahi kuomba kusaidiwa kutafuta nyumba ya kupanga mwaka jana na nilipata vizuri. Kwa sasa mdogo wangu naye amepangiwa kazi hapo Arusha. Bahati mbaya namba ya...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
wakuu mambo vipi, nauza frij used kutoka usa, shida yake ni Gesi tu nakuruhusu kuja na fundi wako aliangalie.... unaweza kunicheck kwa namba 0624 116895
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau wapi napata sehemu wanafundisha kupiga Piano kwa watu wazima ?
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Ram 2gb HDD 160 Bluetooth Wifi Betre 5hrs Size 10.1 Web cam 3g Mawasiliano: 0712191251 Bei 275000
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WAKUBWA NI MDA WA KUTUMIA UTANDAWAZI VIZURI KWA KUPIGA MKWANJAAA, MIMI NATOA HUDUMA YA KUUZA NA KUUNGANISHA ADSENSE ACCOUNT KWENYE BLOGS NA YOUTUBE KWA KIASI CHA ELFU KUMI TU PIA NAKUUNGANISHA NA...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo Tabata segerea ni pm
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Bei Milioni 6.5,Gari Ipo kwenye hali nzuri sana,ina vibali vyote na imetembea kilometer elf 90 tu..gari Ni full kipupwe.kwa mawasiliano piga Simu namba 0712 355025
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI.. KIPO TUNGUU ZNZ KARIBU NA CHUO KIKUU, KIPO KATIKA MASTER CITY PLAN YA SERIKALI MJI UMESHAJENGEKA VIZURI SANA KWA NYUMBA ZA KISASA.. BEI NI MIL 18 TU..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja,kipo kigamboni Mwasonga opposite na sekandary ya kisalawe B. Ni cha kwangu mwenyewe,nauza kwakuwa ninashida ya ADA ya masomo,hakuna...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
HABARI ZENU WAKUU: Kwa wale Wenye kutaka kununuwa Kanzu za kiume za Wakubwa na za watoto wamtafute Bi Faudhia bint Ibrahim mdogo wangu anazo kanzu nzuri sana na bei poa ukihitaji unaweza...
0 Reactions
5 Replies
15K Views
KITUO KIPO NJIA YA MLANDIZI KUTOKEA BAGAMOYO BARABARA IPO KATIKA HARAKATI ZA KUTIWA LAMI..BARABARA HIYO YOTE HAINA HUDUMA HIYO YA MAFUTA TAKRIBANI KM30..KITUO KIMEKAMILIKA KWA TAKRIBANI ASILIMIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna sim nataka ninunue samsung j 1 kwa anaeijua au aliewai kuitumia anijuze ipo vipi hii
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Panasonic HDC-HS300. 3mos 1920 fullHD. Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box . ipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu. Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika 1: colour "black or silver" 2: transimission "auto" 3: cc...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…