Habari wana Jf. Nawashukuru sana niliwahi kuomba kusaidiwa kutafuta nyumba ya kupanga mwaka jana na nilipata vizuri.
Kwa sasa mdogo wangu naye amepangiwa kazi hapo Arusha. Bahati mbaya namba ya dalali nimepoteza. Naomba msaada wa kutafutiwa chumba na sebule self maeneo ya Kaloleli, Olorien au Kijenge. Bajeti ni 100,000.
Nipm tafadhali.