Ndugu habari za jioni,
Ndugu naomba kujuzwa wapi naweza nikapata mashine ya kutobolea main pipe ya inchi moja nanusu kwajiri ya kuunganisha conectore za drip irrigation iwe ya kupres au kudril isiotumia umeme, nipo Dar.
ALF
Cordless drill machine ..... hizi hazitumii Umeme lakini inabidi battery zake uzichaji kwenye Umeme au solar .... zipo nyingi tuu .... kariakoo, Game Mlimani city
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.