Kwa songea tonne1 ni 2500000...kwa dar sijui maana kunankukos gari na gharama zingneBei kiasi gani kwa Tani ikiwa Songea
Na Kiasi mpaka kufika Dar
Aksante kwa ushauri mkuu ....nalifanyia kazi...ila sidhan ka wanatumia ginger pute zaid ya radha kwenye bidhaa zaoBoss!
Ungewasiliana na kiwanda cha Azam, Mo na Coca.
Unaweza pata soko
Hapana mkuu..certification inatia hasiraa haipatikan kirahidVp umejaribu kutafuta soko zaidi ya Tanzania?
Nililima ekar 4....ekari moja unahitaji 4mBoss ulilima eka ngapi?
Gharama ya kulima eka moja ni shilingi ngapi?
Hapana mkuu..certification inatia hasiraa namna yakuipata ili upeleke nje...ila kuna soko la Comoro sjui nalo ka linahitaj certification
nategemea kuanza kuchimba tangawizi hivi karibun,,
naomba mdau anaejua au kuhitaji kiasi kikubwa tuwasiliane PM.
ni kuanzia tonne 20, iko njombe mpakan mwa songea