Nahitaji kreti za soda

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Habari wakuu,

Naomba mwenye kreti za soda zikiwa na chupa tupu anitafute tufanye biashara.Nitumie ujumbe kwenye namba 0673404808, then nitakupigia.

Napatikana Dar es salaam.
Asanteni.
 
mkuu, subiri wenyewe waje. hivi kreti moja ya soda inakuwa na chupa ngapi mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom