Wadau: Mbao ya Teak (Mitiki) inahitajika

qurious

Senior Member
Jan 13, 2012
117
77
Wana jf wenzangu naomba kwa anayefanya biashara ya teak au anayefahamu nitazipata wap naomba anifahamishe
 
Mkuu Hebu google kilombero valley teakwood..ila nadhani wanauza kwa large scale in kampuni kubwa ya wazungu. They do export.

Good luck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom