The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,742
- 14,047
Habarini mimi si mjuzi wa mambo haya kiivyo ila juzi nimeletewa na jamaa kama 200 za unga wa red mercury ( kwa mujibu wake) vipimo tulivyofanya ni kumwagia kwenye lizla ile ya sigara ikawaka moto, na tukaiweka kwenye kijiko jirani na moto ikageuka ya njano .naombeni mnijuze value yake ni kiasi gani na wateja wako wapi hasa . maana ninayo wiki sasa sijui kwa kupeleka na watu wananambia ni pesa