Eneo linauzwa-Mapinga shule

Pishoni

Member
Jan 31, 2013
33
24
Habari wadau,
Kuna jamaa yangu anauza shamba ambalo ndani yake kuna nyumba 2.Ukubwa wa kiwanja 60x30.
Eneo lipo mita 200 toka barabara kuu ya Dar-Bagamoyo.

Please, kama una interest na hii. Contact me inbox.

Karibu.
 
Sasa hata hayo maelezo ulioyatoa ungeomba contact kwanza... kwani ukiweka details zote hapa shida iko wapi? hakuna picha, bei Hakuna, duh
 
wale wale,vichwa panzi wanaona kila siku wenzao wanavyokosolewa kwa kuweka matangazo ambayo hayajakamilika nao wanarudia.Duu! hapa kazi ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom