Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na
Inaoperate vizuri tu.
Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka.
Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana.
NB: Nimeangalia kupitia...
Imetumika miezi kadhaa ila bado ipo ktk hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani pia ina support line. So kwa maelezo zaidi nichek 0713943432 npo dar
Ni shamba lililoko kwenye eneo linalokuwa kwa kasi kiuchumi linafaa kwa kilimo cha miti, matunda,ufugaji n.k, Liko jirani na Wakulima na wafugaji wakubwa wa Ihemi na ni jirani na barabara kubwa...
Habari zenu?
Kuna jamaa yangu anataka kununua pikipiki kuanzia 600Cc (mpya au used)
Kama unayo na unauza naomba maelezo yake
Kama manufacture year,Cc,mechanical condition,Registration...
Kiwanja kipo mkulanga lugwadu ( mwandege) karibu na viwanja vya TAGLUW kwa mkoa wa Dar es salaam kiwanja kina ukubwa wa miguu 20 kwa 20 kinauzwa kwa shilingi laki nane na nusu...hakuna dalali...
Ndugu, floor tiles ( vigae vya sakafu) kutoka Spain vinapatikana kwa bei nafuu ya tsh 37000 kwa mita ya raba moja. Ukubwa ni sm 45 X 45. Unene ni mm 8. Rangi mbalimbali. Mita ya raba moja ni...
Habari wapendwa
Kwanini unasumbuka na unene uliopitiliza ama kuwa na kitambi ambacho unaweza kukiondoa kwa kunywa chai ya majani ya asili yana uwezo wa kupunguza kitambi chako na kukupa afya...