Mashamba ya kukodi na kununua-Ruvu

mtufudenge

Member
Jun 7, 2016
9
13
Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kununua au kukodi-Ruvu . Asanteni kwa msaada wenu.
 
ruvu unaweza kupata lakini kuwa makini matapeli ni wengi sana unaweza kuuziwa shamba la mtu kama huko serious tuwasiliane nikuunganishe na wadau kuna mashamba nayafahamu maeneo ya kiwangwa yanayomilikiwa na wenyeji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom