Natafuta supermarket au maduka nisupply bites.

Nyanda21

Senior Member
Jun 6, 2016
134
60
Mimi ni mjasiriamali mdogo natafuta duka au supermarkets ambazo naweza kusupply bites.kwa yeyote mwenye kufahamu tuwasiliane. Bidhaa nazo tengeneza ni visheti,halfcake,bisi,Karanga za mayai crips.

Siku njema.
 
Back
Top Bottom