Natafuta gari aina hii

Natafuta gari aina hii

Ikena

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2007
Posts
553
Reaction score
397
Kuna ndugu yangu anatafuta gari ambayo kila kitu unamalizia kwe sterling, ye ni mlemavu wa miguu. Na iwe ka Noah iv.

Mwenye kujua jinsi ya kuipata aniambie plse.
 
Back
Top Bottom